Numbers 9:15

Wingu La Moto Juu Ya Maskani

(Kutoka 40:34-38)

15 aKatika siku hiyo ambayo Maskani, Hema la Ushuhuda, iliposimamishwa, wingu liliifunika. Kuanzia jioni mpaka asubuhi wingu lililokuwa juu ya Maskani lilionekana kama moto.
Copyright information for SwhNEN